776 KK : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
(Hakuna tofauti)

Pitio la 13:34, 14 Septemba 2006

Matukio

  • Ugiriki: Michezo ya Olimpiki ya kwanza ambayo kumbukumbu yao imeandikwa. Michezo hii huaminiwa kuwa na historia ndefu zaidi lakini hakunna kumbukumbu ya mapema.
  • Mwanzo wa hesabu ya kwanza ya miaka katika kalenda ya kigiriki kufuatana na vipindi vya miaka minne kati ya michezo miwili ya Olimpiki.

Waliozaliwa

Waliofariki