Edmund Barton : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
'''Sir Edmund Barton''' (18 Januari 18497 Januari 1920) alikuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa Australia.....
 
No edit summary
Mstari 2:
 
'''Sir Edmund Barton''' ([[18 Januari]] [[1849]] – [[7 Januari]] [[1920]]) alikuwa [[Waziri Mkuu]] wa kwanza wa [[Australia]]. Yeye ndiye alichukua sehemu kubwa ya kuijenga na kuuiboresha Australia ya leo. Wakati wa uongozi wake katika serikali hiyo, ilipitisha sheria ya mtu asiye mweupe kuingia nchini humo na hata kutowataka wakina mama kushiriki kupiga kura katika uchaguzi wowote utakaofanyika nchini humo. Baada ya kuwa Waziri Mkuu, akaja kuwa jaji mkuu wa nchi katika mahakama kuu.
 
 
 
 
 
{{stub}}
 
 
{{AustraliaPM}}
 
{{DEFAULTSORT:Barton, Edmund}}
[[Category:MawaziMawaziri Wakuu wa Australia]]
[[Category:Waliozaliwa 1849]]
[[Category:Waliofariki 1920]]