Redio : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|right|200px|Redio mnamo 1950 thumb|right|200px|Redio mnamo 2000 '''Redio''' ni chombo (kifaa) kinachopokea mawasiliano kutoka kati...
 
No edit summary
Mstari 7:
 
==Historia==
Mwaka 1886 Mjerumani [[Heinrich Hertz]] alitambua mawimbi ya sumakuumeme. Wataalamu na muhandisi mbalimbali walifanya majaribio katika miaka iliyofuata kutumia mawimbi haya kwa mawasiliano, kati yao Mwitalia [[Guglielmo Marconi]], Mwamerika [[Nikola Tesla]] na Mrusi [[Alexander PopowPopov]]. Kila mmoja ametajwa kama "mtu wa kwanza áliyegundua redio".
 
Kituo cha kwanza cha redio kilianzishwa na Mholanzi Hanso Schotanus à Steringa Idzerda tar. 6 Novemba 1919 aliposambaza muziki kutoka nyumba yake. Kituo cha kwanza cha kibiashara kilianza kazi mwaka 1920 Marekani mjini [[Pittsburgh]].