Samueli I : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Kitabu cha kwanza cha Samuli''' kilikuwa sehemu ya kwanza ya Kitabu cha Samueli katika Tanakh (yaani Biblia ya Kiebrania) kabla hakijagawiwa pande mbili kutokana na ukubwa w...
(Hakuna tofauti)

Pitio la 18:59, 10 Oktoba 2008

Kitabu cha kwanza cha Samuli kilikuwa sehemu ya kwanza ya Kitabu cha Samueli katika Tanakh (yaani Biblia ya Kiebrania) kabla hakijagawiwa pande mbili kutokana na ukubwa wake.

Kuanzia tafsiri ya kwanza (ya Kigiriki) inayojulikana kama Septuaginta na katika Agano la Kale la Biblia ya Ukristo kinahesabiwa kama kitabu kinachojitegemea.

Hata hivyo mada yake na ya Kitabu cha pili ni moja: kueleza habari za mwanzo wa ufalme wa Israeli chini ya Samueli aliyewapaka mafuta wawe wafalme Sauli halafu Daudi.

Kwa habari zaidi tazama Vitabu vya Samueli.