Kitabu cha Yoeli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: '''Kitabu cha Yoeli''' ni kimoja kati ya vitabu 12 vya Manabii wadogo ambavyo, pamoja na vingine vingi, vinaunda Tanakh. Hivyo ni pia sehemu ya Agano la Kale katika [[Biblia]...
 
No edit summary
Mstari 5:
==Muda wa uandishi==
 
Inawezekana kwamba kitabu hiki kilikuwa cha mwisho kuandikwa kati ya vitabu vya kinabii cha [[Biblia ya Kiebrania]] (ambamo kitabu[[Kitabu cha [[Danieli]], kilichoandikwa baadaye, hakimo katika kundi la [[Manabii]]).
 
==Muhtasari==
Mstari 13:
 
==Mwangwi katika [[Agano Jipya]]==
[[Petro mtakatifu|Mtume Petro]] alitaja utabiri wa Yoeli akieleza karama zilizojitokeza siku ya [[Pentekoste]] ya mwaka 30 [[B.K.BK]] kutokana na ujio wa [[Roho Mtakatifu]] (taz. Yoe 3:1-5 na Mdo 2:16-21).
 
[[Mtume Paulo]] alitumia utabiri huohuo kuhusu [[Wayahudi]] na watu wa mataifa mengine pia (taz. Yoe 3:5 na Rom 10:13).