Adalbert wa Magdeburg : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Adalbert of Magdeburg.jpg|200px|thumb|Mtakatifu Adalbert wa Magdeburg]]
 
'''Mtakatifu Adalbert wa Magdeburg''' (alifariki tarehe [[20 Juni]], [[981]]) alikuwa [[askofu mkuu]] wa kwanza wa mji wa [[Magdeburg]], [[Ujerumani]].

Ametambuliwa kuwa mtakatifu.

Sikukuu yake ni [[20 Juni]].
 
==Maisha==
Adalbert alizaliwa Ujerumani na kuwa [[mtawa]] katika mji wa [[Trier]].

Baada ya kuwekwa wakfu kama [[askofu]], mwaka wa [[961]] alitumwa mjini [[Kiev]], ([[UrusiUkraina]]) kama [[mmisionari]].

Kundi lake lote liliuawa, naye Adalbert peke yake aliweza kurudi Ujerumani.

Baadaye aliteuliwa kuwa askofu mkuu wa [[dayosisi]] ya Magdeburg.

Alianzisha madayosisi mapya pengi upande wa Mashariki wa Ujerumani, kama katika miji ya [[Naumburg]], [[Meißen]], [[Merseburg]], [[Brandenburg]], [[Havelberg]], na [[Poznan]]. Mwanafunzi wake mmoja aliyetakatifishwa kama yeye ni [[Adalbert wa Praha]].
 
Mwanafunzi wake mmoja aliyetangazwa kuwa mtakatifu kama yeye ni [[Adalbert wa Praha]].
 
==Tazama pia==