Tofauti kati ya marekesbisho "Adelaide wa Italia"

13 bytes added ,  miaka 14 iliyopita
d
viungo vya tarehe na vya miaka
d (kuongeza viungo vya lugha nyingine)
d (viungo vya tarehe na vya miaka)
'''Adelaide wa Italia''' (takriban [[931]] – [[16 Desemba]], [[999]]) alikuwa binti wa [[Rudolf II], mfalme wa [[Burgundia]]. Kwanza aliolewa na Lothar, mfalme wa [[Italia]]. Alipofariki Lothar, Adelaide aliolewa na [[Otto I]], mfalme wa [[Ujerumani]]. Aliishi maisha matakatifu. Sikukuu yake ni 16 Desemba.
 
[[Category:Watakatifu Wakristo]]