Tamthilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: tamthilia naweza kuiangalia kama namna ya kuandika fasihi fupi,yaaani
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Honoré Daumier 026.jpg|right|thumb|400px|Mchoro unaonyesha namna ya watu wanavyocheza mchezo.]]
tamthilia naweza kuiangalia kama namna ya kuandika fasihi fupi,yaaani
'''Tamhiliya''' au '''Tamthilia-Mchezo''' ni moja kati ya sehemu ya utunzi wa hadithi au fasihi simulizi (ngano au hadithi) ambayo mara nyingi tunaona kupitia katika makumbi au [[televisheni]], kusikia kupitia katika [[redio]].
 
Tamthiliya au mchezo mara nyingi huwa mazunguzo baina ya watu, na kwa kawaida huwa mchezo hatuutizami katika TV tu, bali hata kuna watu wengine hufuatilia kwa kupitia maandiko yenye tamthiliya hizo na kuzielewa vyema.
 
Watu tunaowaona wanafanya tamthilia ni [[mwigizaji|waigizaji]]; katika ukumbi wa maonyesho husimama juu ya [[jukwaa]] na kuanza kutoa burudani huku watu wakiwaangalia (watazamaji) wanaweza wakawaona vyema kabisa.
 
[[mwongozaji wa filamu|Mwongozaji]] ana wasaidia waigizaji waigizaji kufanya kazi zao vyema, au anawaeleza namna ya mchezo jinsi vile unavyotakiwa kuchezwa.
 
Kuna aina nyingi ya michezo au tamthiliya, lakini kuna michezo sita ambayo inaonekana kuwa muhimu kupita yote:
 
#[[Trejidia]] - huu ni mchezo wa uzunu tu, kwa sababu ya mikosi na nuksi, kwa sababu ya mbabe hayuko ngangali, au kwa sababu za kimira au imani fulani.
#[[Komedia]] - huu unaishia na vicgekesho tu. Vitu vilivyo katika mchezo huu ni vya kuchekesha; una vunja mbavu.
#[[Domestiki drama]] au Igizo la kawaida - huu ni mchezo wa maisha ya kawaida, familia na marafiki.
#[[Trejikomedia]] - huu ni mchezo wa vitu vyote vichekesho na uzuni alkadhalika.
#[[Melodrama]] - huu mara nyingi unaisia na furaha. Ndani yake kunakuwa na maadui - watu wabaya - lakini mbabe hushinda. Msisiko wake una kuwa mkali sana.
#[[Simboliki]] - huu una husu fikra za uigizaji au mchezo. Watu wachezao katika mchezo wala sio muhimu.
Smboliki pia waweza kuitwa kwa jina la kitaalamu kama expressionistic. Ni kuhusiana zaidi na waongozaji na watunzi wakiwa wanatoa fikra zao katika mchanganuo tofauti.
 
 
 
 
 
 
[[Category:Tamthilia]]
[[Category:Maigizo]]
[[Category:Fasihi]]
 
{{stub}}
 
[[simple:Play]]
[[bg:Пиеса]]
[[de:Dramatik]]
[[en:Play (theatre)]]
[[fa:نمایش‌نامه]]
[[fr:Pièce de théâtre]]
[[ko:희곡]]
[[id:Lakon]]
[[he:מחזה]]
[[nl:Toneelstuk]]
[[ja:戯曲]]
[[pt:Peça de teatro]]
[[ru:Пьеса]]
[[fi:Näytelmä]]
[[th:ละครเวที]]
[[uk:П'єса]]
[[wa:Pîce di teyåte]]
[[yi:פארשטעלונג]]
[[zh:剧本]]