William Shockley : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Adding: id:William Shockley
d viungo vya tarehe na vya miaka
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''William Bradford Shockley''' ([[13 Februari]], [[1910]] – [[12 Agosti]], [[1989]]) alikuwa mhandisi na mwalimu kutoka nchi ya [[Marekani]]. Hasa alichunguza mambo ya umeme na kuvumbua [[transista]]. Mwaka wa 1956, pamoja na [[John Bardeen]] na [[Walter Brattain]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Fizikia'''.
 
[[Category:Wanasayansi]]