Bingöl : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|right|450px|Mwonekano wa eneo la mji wa Bingöl '''Bingöl''' (Kizazaki: '''Çolig'') (Kituruki;[[|KiswahiliKisw.]] maziwa elfu...
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Bingöl Turkey Provinces locator.gif|thumb|right|450px400px|Mwonekano wa eneo la mji wa Bingöl]]
'''Bingöl''' ([[Kizazaki]]: '''Çolig''') ([[Kituruki]];[[KiswahiliKisw.]] maziwa elfu) ni mji uliopo mjini Mashariki mwa nchi ya [[Uturuki]]. Hadi kufikia [[1950]], mji ulikuwa ukifahamika kwa jina la '''Çabakcur''', ikiwa na maana ya maji madhalimu kwa [[Kiarmenia]].
 
Mji umezungukwa na milima na [[Mito ya Barafu]], na kufanya liwe jina la kibiashara. Hivi karibuni, mji umepata kuwa kituo mashuhuri cha watalii. Mnamo mwaka wa 2000, mji ulikuwa na idadi ya wakazi wapatao 68,876 waishio huko kwa mjibu wa sensa zao.