Mapigano ya Adowa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
viungo
Mstari 1:
[[Image:Adua Menelik.jpg|thumb|right|300px|Negus Menelik II kwenye mapigano ya Adowa - uchoraji katika gazeti la kifaransa ''Le Petit Journal'']]
Mapigano ya Adowa yalitokea [[1 Machi]] [[1896]] katiika nyanda za juu za Tigray kati ya jeshi ya Italia upande mmoja na ya Ethiopia kwa upande mwingine.
 
[[Image:1896.jpg|thumb|right|250px|Gazeti la Kifaransa "La Vie Illustree" inaonyesha sherehe ya kukumbuka ushindi wa Adowa ya [[1904]] na wanajeshi Waethiopia kwenye maandamano ]]
 
'''Mapigano ya Adowa''' yalitokea [[1 Machi]] [[1896]] katiikakatika nyanda za juu za [[Tigray]] kati ya jeshi yala [[Italia]] kwa upande mmoja na yala [[Ethiopia]] kwa upande mwingine. Ushindi wa Ethiopia ulihakikisha uhuru wa nchi.
 
==Utangulizi==
Mwaka [[1889]] mtemi wa [[Shewa]] [[Menelik II]] alijitangaza [[Negus]] wa Ethiopia baada ya kushinda mapigano kazi ya watemi wa Ethiopia baada yayaliyofuata kifo cha Negus aliyetangulia [[Yohanne IV]]. Menelik alisaidiwa na Waitalia walioshika tayari [[Eritrea]]. " Mei 1889 Menelik alifanya [[mkataba wa Wuchale]] alimokubali utawala wa [[Italia]] juu ya kanda ya pwani pamoja na maeneo kadhaa ya nyanda za juu za [[Tigray]] yakiwemo mazingira ya [[Asmara]] ya leo.
 
Italia ilidai kutokana na nakala ya Kiitalia ya mkataba huo haki ya ulinzi juu ya Ethiopia. Menelik aliiimarisha utawala wake na mwaka [[1893]] alikana mkataba.
 
==Italia inavamia Ethiopia==
Italia ilijibu kwa kuvamia Ethiopia kwa jeshi kubwa katika Oktoba [[1895]]. Menelik aliweza kukusanya takriban wanajeshi 100,000 na kuwaongoza Tigray (jimbo jirani ya Eritrea).
 
Mapigano ya kwanza ndani ya Tigray ya [[Amba Alagi]] (7 Desemba) na ya [[Mekelle]] hayakuenda vizuri kwa Waitalia. Waethiopia walishindwa kuteka boma la Mekelle lakini Waitalia walifungwa ndani kwa wiki tatu. Mwishowe waliondoka baada ya mapatano na Negus Menelik II na kurudi Eritrea.
 
Sehemu kubwa ya jeshi la Italia haikuingia bado katika mapigano. JemadariGavana jenerali [[Oreste Baratieri]] alikataa kuwashambulia Waethiopia baada ya kujua idadi yao kubwa. Alijua ya kwamba Menelik asingeweza kulisha askari wengi hivi kwa muda mrefu katika milima ya Tigray akataka kusibiri hadi jeshi la Negus ilianzalilianza kusikia njaa na kupungua.
 
Lakini serikali ya [[Roma]] ya waziri mkuu [[Francesco Crispi]] baada ya kupokea habari za mapigano ya kwanza iliona aibu ya kushindwa na Waafrika ikamwamuru jemadarigavana ashambulie mara moja.
 
==Adowa==
Line 20 ⟶ 24:
Jeshi lake lilikuwa na vikosi vitatu vya Waitalia na kikosi kimoja cha askari kutoka [[Eritrea]]. Jumla ya wanajeshi ilikuwa 17,700 na mizinga 65. Hii ilikuwa nusu ya Waitalia wote waliopatikana katika Eritrea.
 
Baratieri alijua ya kwamba kulikuwako kambi kubwa ya Waethiopia karibu na mji wa Adowa alitaka kuwashambulia asubuhi wakati wa kucha kabla hawakuamka. Lakini viksovikosi vyake walipotea njia gizani waliposogea mbele usikiusiku hawakufika kwa utaratiibu mzuri mahali walipokutana na vikosojeshi vyala Negus.
 
Jeshi la Menelik ilikuwalilikuwa la wanajeshi 80,000 hadi 100,000. Wengi wao walikuwa na bunduki zilizonunuliwa katika miaka iliyotangulia na Menelik kutoka wafanyabiashara Waitalia.
 
Wakati wa asubuhi wa 1 Machi 1886 kikosi cha kwanza cha askari Waeritrea chini ya maafisa Waitalia kiligonga moja kwa moja kambi la [[Ras Alula]] aliyekuwa tayari. MakeleMakelele yaliamsha Waethiopia wote waliochukua haraka nafasi zao juu ya milima wakiwashambulia Waitalia waliosogea mbele bondeni.
 
Baada ya masaa sita mapigano yalikwisha. Waitalia walishindwa, wengi kuuawa na wengine walikimbia wakirudi Eritrea. Wanajeshi wao 7,000 waliuawa na 1,500 kujeruhiwa, 3,000 wakawa wafungwa kati yao jenerali mmoja. Waethiopa walipoteza 4,000 - 5,000 na 8,000 kujeruhiwa. Waitalia walipaswa kuacha nyuma mizinga yote na bunduki 11,000 na vifaa vingi.
Line 34 ⟶ 38:
 
==Baada ya mapigano==
Waethiopia waliwatendea wafungwa Wazungu vizuri isipokuwalakini walikata 800 askari wafungwa Waeritrea mkono na mguu wa kuume.
 
Baada ya habari hizi kufika Italia serikali ya Crispi ilipinduliwa. Serikali mpya ilipaswa kukubali uhuru wa Ethiopia katika mkataba wa amani [[26 Oktoba]] [[1896]]. Ethiopia ilikubali mamlaka ya Italia juu ya koloni yake katika kaskazini. Wafungwa walirudishwa.