Tofauti kati ya marekesbisho "Kaizari"

131 bytes added ,  miaka 16 iliyopita
viungo vya miaka na masahihisho
No edit summary
(viungo vya miaka na masahihisho)
'''Kaisari''' ni cheo cha mfalme mkuu. Asili ya jina ni [[Julius Caesar]] aliyekuwa kiongozi wa [[Dola la Roma]] hadi kuuawa kwake na wapinzani mwaka [[44 BKKK]]. Watawala waliomfuata walianza kutumia jina la Caesar kwa heshima yake hadi jina limekuwalilikuwa cheo.
 
Cheo cha Kaisari kiliendelea kutumika katika eneo la Dola la [[Roma ya Mashariki]] ([[Bizanti]]) hadi [[1453]]. Katika [[Ulaya]] yenyewe mfalme wa [[Wafranki]] [[Karolo Mkuu]] alipokea cheo cha "Caesar" au Kaisari. Baadaye wafalme [[Wajerumani]] waliomfuata Karolo Mkuu katika sehemu ya mashariki ya ufalme wake waliendelea kutumia cheo hiki cha Caesar au Kaisari.
 
Neno la Kaisari liliingia katika lugha ya Kiswahili wakati wa [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani|ukoloni wa Kijerumani]] huko [[Tanzania]]. [[Austria]] na [[Ujerumani]] zilitawaliwa hadi mwisho wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] [[1918]] na wafalme wenye cheo cha "Kaisari" (''[[kijer.]]: Kaiser)''. Vilevile mfalme wa [[Urusi]] alikuwa na cheo kilekile kilichoitwa "[[Tsar]]" kwa Kirusi, ilhali neno hili limeundwa pia kutoka kwa "Caesar".
 
Lugha za [[Kiingerezea]] na [[Kifaransa]] zilitumia cheo tofauti cha Macaesar wa Kiroma ndicho "Imperator" (=mwenye amri, mwenye mamlaka, jemadari)kilichokuwa "Emperor" ([[Kiingereza|Kiing.]]) au "Empereur" ([[Kifaransa]]). Kaisari ni cheo cha mfalme aliye juu ya wafalme wengine. Kutokana na uzuefu huu hata Shah wa Uajemi na mtwala wa Japon waliweza kuitwa kwa cheo "Kaisari".
 
Kaisari ni cheo cha mfalme aliye juu ya wafalme wengine. Kutokana na uzuefu huu hata Shah wa [[Uajemi]], mtwala wa [[Japani]] na [[Negus Negesti]] wa [[Ethiopia]] wanaweza kutajwa kwa cheo cha "Kaisari".
 
[[Category:Siasa]]
 
[[da:Cæsar]]