Kalenda ya mwezi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Kalenda ya [[mwezi (wakati)|mwezi]]''' inahesabu miezi kufuatana na mwendo wa [[mwezi (gimba la angani)|mwezi]]. [[Mwezi]] una muda wa siku 29,5 kutoka mwezi mpya hadi mwezi mpya. Faida yake ni ya kwamba mwezi unaonekana na watu wote. Hali hii inasaidia kuelewana haraka kati ya watu juu ya tarehe fulani katika mazingira ambako hakuna mitambo wala maandishi. [[Mwaka]] wa miezi hii 12 una siku 354.
 
Kwa sababu hiyo [[kalenda]] za kale katika mataifa na tamaduni mbalimbali mara nyingi zilikuwa hasa kalenda za kufuata mwezi.
Mstari 9:
[[Kalenda ya Kiyahudi]] ni mfano hadi leo jinsi mwaka wa mwezi unasahihishwa kwa kuingiza miezi ya nyongeza. Katika utaratibu wa kipindi cha miaka 19 kuna miaka 12 ya kawaida na miaka saba yenye mwezi wa nyongeza inayobadilishana ili kulinganisha kalenda ya mwezi na mwendo wa jua hivyo mwezi wa mavuno inabaki katika majira yake.
 
Kalenda ya mwezi tupu ambayo ni muhimu hadi leo ni [[kalenda ya kiislamu]]. Tarehe zake zinabadilika kila mwaka katika [[kalenda ya Gregori]] ambayo ni Kalenda ya kimataifa inayofuata [[mwaka wa jua|jua]]. Kwa mfano [[Ramadhani]] iko mwaka 2006 BK wakati wa [[Novemba]]; kila mwaka inasogea mbele itafika miezi ya [[Agosti]], [[Mei]], [[Januari]] na kadhalika hadi kurudi tena Novemba katika mwendo wa miaka wapitao 33.
 
{{mbegu}}