Khalifa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Califate 750.jpg|thumb|350px|Eneo la utawala wa makhalifa wakati wa mwisho wa Wamuawiya mw. 750]]
'''Khalifa''' ni cheo cha kihistoria kwa ajili ya kiongozi wa ''[[ummah]]'' (jumuiya ya [[Uislamu]]). Ni neno la Kiarabu <big><big> خليفة </big></big>''khalīfah'' linalomaanisha "makamu". Khalifa ni kifupi chake cha <big><big> خليفة رسول الله </big></big> "khalifat-ur-rasul-Allah" kinachomaanisha "Makamu wa mtume wa Allah/Mungu". Hivyo mana yake ni makamu au mfuasi wa [[Mtume Muhammad]] katika nafasi yake kama kiongozi wa Waislamu.
 
Cheo cha khalifa kilitumiwa pamoja na cheo cha "'''amīr-al-mu'minīn'''" (<big><big> أمير المؤمنين </big></big>) "Jemafari Mkuu wa wenye Imani (=Waislamu)".
 
Utaratibu wa uongozi wa khalifa ulianzishwa baada ya kifo cha Muhammad mw. 632 na kuishia [[3 Machi]] [[1924]] katika mapinduzi ya [[Atatürk]].
 
 
==Makhalifa wanne wa kwanza==
Line 36 ⟶ 39:
 
Mifano ni:
* Makhalifa [[Wafatima]] (wa Shia) katika [[Misri]] na Afrka[[Afrika ya Kaskazini]] (909-1171).
* Makhalifa wa [[Muwahidun]] katika Afrika ya Kaskazini na [[Hispania]] ya Kiislamu (1145-1269).
* Makhalifa wa [[Ahmadiyya]] - waliomfuata Hazrat [[Mirza Ghulam Ahmad]] kama kiongozi wa Ahmadiyya huitwa "khalifa". Tangu 22 Aprili [[2003]] Hazrat Mirza Masroor Ahmad amekuwa "khalifatul masih V) (khalifa wa tano wa Messia).
* makhalifa wa [[Sudan]]: wafuasi wa [[Al-Mahdi]] waliitwa kwa cheo "khalifa".
 
 
==Majaribio ya kukufusha ukhalifa==
Tangu mwaka huu walijitokeza viongozi wa vikundi mbalimbali waliodai cheo cha khalifa lakini bila kukubaliwa na Waislamu wengi.

* Mfano mmojawapo ni kundi la Mturuki [Cemaleddin Kaplan] alijejitangaza 1994 kuwa khalifa. Alikuwa na wafuasi maelfu kadhaa kati ya Waturuki katikanchini [[Ujerumani]]. Baada kifo chake mashindano juu ya cheo kilisababisha kuuawa kwa mfuasi mmoja na kikundi kilipigwa marufumarufuku na serikali ya Ujerumani.
 
* Kati ya wafuasi wa Uislamu[[Waislamu wenye mwelekeo mkali]] kuna mafundisho ya kwamba cheo cha khalifa kinapaswa kurudishwa kama utaratibu wa kisiasa cha kufaa. Mfano wake ni chama cha [[Hizb ut-Tahrir]] kilichopigwa marufu katika nchi zote.