Khalifa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
masahihisho madogo
masahihisho madogo
Mstari 49:
Tangu mwaka huu walijitokeza viongozi wa vikundi mbalimbali waliodai cheo cha khalifa lakini bila kukubaliwa na Waislamu wengi.
 
* Mfano mmojawapo ni kundi la Mturuki [[Cemaleddin Kaplan]] alijejitangaza [1994] kuwa khalifa. Alikuwa na wafuasi maelfu kadhaa kati ya Waturuki nchini [[Ujerumani]]. Baada kifo chake mashindano juu ya cheo kilisababisha kuuawa kwa mfuasi mmoja na kikundi kilipigwa marufuku na serikali ya Ujerumani.
 
* Kati ya [[Waislamu wenye mwelekeo mkali]] kuna mafundisho ya kwamba cheo cha khalifa kinapaswa kurudishwa kama utaratibu wa kisiasa cha kufaa. Mfano wake ni chama cha [[Hizb ut-Tahrir]] kilichopigwa marufu katika nchi zote.