Khalifa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
masahihisho madogo
sahihisho
Mstari 1:
[[Image:Califate 750.jpg|thumb|350px|Eneo la utawala wa makhalifa wakati wa mwisho wa Wamuawiya mw. 750]]
 
'''Khalifa''' ni cheo cha kihistoria kwa ajili ya kiongozi wa ''[[ummah]]'' (jumuiya ya [[Uislamu]]). Ni neno la Kiarabu <big><big> خليفة </big></big>''khalīfah'' linalomaanisha "makamu". Khalifa ni kifupi chake cha <big><big> خليفة رسول الله </big></big> "khalifat-urkhalifatu-rasul-Allahi-llah" kinachomaanisha "Makamu wa mtume wa Allah/Mungu". Hivyo mana yake ni makamu au mfuasi wa [[Mtume Muhammad]] katika nafasi yake kama kiongozi wa Waislamu.
 
Cheo cha khalifa kilitumiwa pamoja na cheo cha "'''amīr-al-mu'minīn'''" (<big><big> أمير المؤمنين </big></big>) "Jemafari Mkuu wa wenye Imani (=Waislamu)".