Khalifa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
sahihisho
sahihisho
Mstari 9:
 
==Makhalifa wanne wa kwanza==
Mtu wa kwanza aliyetumia cheo hiki alikuwa ([[Abu Bakr]] aliyeongoza ummah ya Waislamu baada ya kifo cha Muhammad mwaka [[632]]. Alichaguliwa na vikongoziviongozi wa Waislamu kwa sababu Muhammad hakumwacha mrithi wala maagizo kuhusu atakayemfuata kama kiongozi.
 
Abu Bakr alifuatwa na [Umar ibn al-Khattab]], [[Uthman ibn Affan]] na [[Ali ibn Abi Talib]].