Mark (pesa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 15:
Sarafu za nusu mark (Pfenning 50) hadi mark 5 zilikuwa za dhahabu. Pesa za mark 10 na 20 zilikuwa za dhahabu.
 
Mark ilikuwa pia pesa halali katika koloni za Ujerumani isipokuwa katika [[Afrika ya Mashariki ya Kijerumani]] ambako Wajerumani walitoa pesa iliyoitwa [[rupia]]. Rupia 15 zilingana na mark 20.
 
Jina la Mark ya dhahabu ilibadilihswa kuwa "Reichsmark" (yaani ''mark ya dola'') hadi 1948. Tangu kugawiwa kwa Ujerumani katika nchi mbili katika kipindi cha [[vita baridi]] baada ya [[vita kuu ya pili ya dunia]] kila sehemu ilikuwa na mark yake. [[Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani]] ilikuwa na "Deutsche Mark" iliyojulikana kimataifa kama D-Mark. [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani]] ilikuwa na "Mark der DDR" hadi kuungana na Shirikisho mwaka 1990.