Abebe Bikila : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d robot Adding: en Modifying: ja, ko
d viungo vya tarehe na vya miaka
Mstari 2:
 
==Historia==
Abebe Bikila alizaliwa [[Agosti 17]], [[1932]] nchini Ethiopia. Alifariki [[Oktoba 25]], [[1973]] kutokana na matatizo kuvuja damu kwenye ubongo kutokana na ajali ya gari. Ajali hiyo ilikuwa mbaya kiasi cha kupooza mwili wake toka kiunoni kwenda chini.
 
Zaidi ya kuwa mwanariadha, Abebe alifanya kazi katika jeshi la walinzi wa [[Mfalme Haile Selassie]].