Samueli I : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
 
Hata hivyo mada yake na ya Kitabu cha pili ni moja: kueleza habari za mwanzo wa ufalme wa [[Israeli]] chini ya Samueli aliyewapaka mafuta wawe wafalme [[Sauli]] halafu [[Daudi]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
Kwa habari zaidi tazama [[Vitabu vya Samweli]].