Kitabu cha Kwanza cha Wafalme : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: an:I Reis
No edit summary
Mstari 1:
'''Kitabu cha Kwanza cha Wafalme''' ni sehemu ya [[Tanakh]] ya Kiyahudi na [[Agano la Kale]] la Wakristo[[Ukristo]]. Hugawiwa kwa sura 22.
 
Chasimulia habari za wafalme wa Israeli ya Kale. Chanzo ni habari za mfalme mzee [[Daudi (Biblia)|Daudi]] na za [[Suleimani]] aliyemfuata. Hapa kuna pia maelezo kuhusu ujenzi wa [[hekalu ya Yerusalemu]].
 
Kinachofuata ni habari za uagwajiugawaji wa milki kuwa madola mawili yaani
*[[Ufalme wa Yuda]] katika kusini kuanzia mfalme [[RehabeamuRehoboamu]] mtoto wa Suleimani
*[[Ufalme wa Israel]] katika kaskazini kuanzia mfalme [[YerobeamuYeroboamu]] hadi mfalme [[Ahabu]].
 
Zamani kilikuwa kitabu kimoja pamoja na [[Wafalme II]] lakini katika [[Septuaginta]] vitabu viligawiwa. Wataalamu huamini hii ilitokea kutokana na urefu wa kitabu si kwa sababu za yaliyomo au mpangilio.
Mstari 11:
Habari za manabii [[Eliya]] na [[Elisha]] zimo humo.
 
Kati ya masimulizi mashuhuri sana ya kitabu hiki ni hukumu ya Suleimani (Wafalme I 3, 16-27).
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
[[Category:Biblia]]
[[Category:Vitabu vya Agano la Kale]]
 
{{Biblia AK}}