Wimbo Ulio Bora : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Wimbo Ulio Bora''' (kwa [[Kiebrania]] '''שיר השירים''' ''Shir ha-Shirim''), ni kitabu kimojawapo cha [[Tanakh]] ([[Biblia ya Kiebrania]]) na hivyo pia cha [[Agano la Kale]] katika [[Biblia]] ya [[Ukristo]].
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
Ingawa mapokeo yanamtaja mfalme Solomoni kama mtunzi, wataalama wanaona ni kazi ya mwandishi wa [[karne ya 4 K.K.]] aliyekusanya nyimbo mbalimbali za mapenzi.
Line 29 ⟶ 31:
[[Kitabu cha Nehemia|Nehemia]]
[[Kitabu cha Tobiti|Tobiti]]<sup><small>DK</small></sup>
[[Kitabu cha YuditiYudith|Yuditi]]<sup><small>DK</small></sup>
[[Kitabu cha Esta|Esta]]
[[Kitabu cha Wamakabayo I|Wamakabayo I]]<sup><small>DK</small></sup>