Kitabu cha Yeremia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Yeremia umesogezwa hapa Kitabu cha Yeremia: jina peke yake linaweza kuchanganywa
No edit summary
Mstari 3:
Habari zake zinapatikana katika kitabu chake, ingawa humo hazikupangwa kitarehe.
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
Toka mwanzo alitaka kukataa, na hata baadaye akafikia hatua ya kukata tamaa alipodhulumiwa. Lakini Mungu alimuita kwa mpango wa milele, Yeremia asiweze kukataa (15:10-21; 20:7-18).
 
Toka mwanzo Yeremia alitaka kukataa wito wa unabii, na hata baadaye akafikia hatua ya kukata tamaa alipodhulumiwa. Lakini Mungu alimuita kwa mpango wa milele, Yeremia asiweze kukataa (15:10-21; 20:7-18).
 
Katika muda wa utume wake (626-585 hivi [[K.K.]]) kipindi kizuri ni kile tu ambacho [[mfalme Yosia]] alifanya [[urekebisho]] (622-609 K.K.).
Line 34 ⟶ 36:
 
{{Biblia AK}}
[[Category:Watu wa Biblia]]
 
[[Category:Watu wa Biblia]]
[[Category:Vitabu vya Agano la Kale|Yeremia]]