Kitabu cha Yona : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
Tokea zamani '''kitabu cha Yona''' kimepangwa kati ya "Manabii wadogo", ingawa hakileti ujumbe wa [[nabii]], bali kinafanana zaidi na hadithi zenye fundisho la imani au maadili, kama vingine vilivyopangwa kati ya "vitabu vya historia".
 
Habari ni kwamba mtu huyo, alipoataalipopata wito wa kinabii kwa faida ya [[Waashuru]] wa mji wa [[Ninawi]], maadui wa Israeli, alijaribu kuukwepa.
 
Baadaye, alipolazimika kuwatangazia adhabu ya Mungu, alionyesha huzuni kali kwa kuona wametubu na kuhurumiwa na Mungu.
Mstari 9:
Lengo kuu la kitabu ni kupambana na utaifa wa Wayahudi uliowafanya wadhani Mungu anatakiwa kuwapenda wao tu, hata kusikitikia huruma yake kwa watu wa mataifa.
 
==Mwangwi katika [[Agano Jipya]]==
 
Yona anatajwa katika Injili kuhusiana na ishara yake iliyomuashiria [[Yesu]].