Kitabu cha Mika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: tl:Aklat ni Mikas Badiliko: es:Miqueas (profeta)
No edit summary
Mstari 2:
 
Hivyo ni pia sehemu ya [[Agano la Kale]] katika [[Biblia]] ya [[Ukristo]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
==Mwandishi na muda==
 
Jina la [[nabii]] huyo, aliyefanya kazi wakati uleule wa nabii [[Isaya]], mwishoni mwa karne ya 8 [[K.K.]], lina maana ya "Nani kama Mungu?".
"Nani kama Mungu?".
 
==Muhtasari==
 
Kitabu kinaweza kuwaganyika sehemu nne ambamo vitisho na ahadi vinapokezana:
*hukumu dhidi ya [[Israeli]] (Mik 1:2-3,12)
Line 23 ⟶ 25:
 
[[Category:Vitabu vya Agano la Kale]]
[[Category:Watu wa Biblia]]
 
[[ar:سفر ميخا]]