Kitabu cha Nahumu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: tl:Aklat ni Nahum
No edit summary
Mstari 5:
Kinashangilia ujio wa maangamizi ya dola la [[Waashuru]] na ya makao yao makuu, [[Ninawi]] ([[612 a.C.]]) kwa ufasaha wa kishairi. Adui wa taifa na wa [[Mungu]] hatimaye ataadhibiwa.
 
Mtunzi anadhaniwa kuwa nabii wa [[Yerusalemu]] wakati wa [[mfalme GiosiaYosia]] wa [[Yuda]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
{{Biblia AK}}