Tofauti kati ya marekesbisho "The Matrix"

15 bytes removed ,  miaka 12 iliyopita
d
no edit summary
('''The Matrix''' ni filamu ya kupigana na yenye uzushi wa kisayansi, ambayo ilitengenezwa mwaka wa 1999. Filamu ilitungwa na kuongozwa na Wachowski Brothers...)
 
d
'''The Matrix''' ni filamu ya kupigana na yenye [[Sayansi|uzushi wa kisayansi]], ambayo ilitengenezwa mwaka wa [[1999]]. Filamu ilitungwa na kuongozwa na Wachowski Brothers. Washiriki wakuu katika filamu hii ni [[Keanu Reeves]], [[Laurence Fishburne]], [[Carrie Anne Moss]] na [[Hugo Weaving]]. Mhusika mkuu katika filamu hii ni Neo ([[Keanu Reeves]]).
 
Filamu ilitolewa rasmi mnamo tarehe [[31 Machi]] ya mwaka wa 1999 katika nchi ya [[Marekani]], na ni toleo la kwanza kutoka katika mfululizo wa filamu za Matrix. Filamu imepkeaimepokea [[Academy Awards|Tuzo nne za Academy]].
 
==Njama==
===Muhtasari wa filamu===
 
Mwanamke huyo jina lake ni Trinity. Trinity anafahamu kuwa Neo anaona kama maajabu juu ya mambo yale yaliyotokea kwa muda ule. Mwanamke huyo akamweleza Neo kwamba Matrix wanamsaka vibaya mno.
 
===Siku iliyofuata===
Neo akiwa bado anayafanyia kazi yale maelezo aliyoambiwa jana na yule mwanamke, ghafla akaletewa kufurushi ambacho ndani yake kuna simu ya mkononi. Baada ya muda mchache simu ikaita. Aliyepiga simu alikuwa Bw. Morpheus.
 
Morpheus akampa Neo chaguo. Endapo Neo atachukua kidonge cha buluu, inamaana kwamba hamna atakachojua. Na hato jua lolote kuhusu Matrix. Na Neo ataendelea kuishi katika Matrix, lakini atakuwa muda wote yeye hana raha. Na endapo Neo atachukua kidonge chekundu, atatambua ukweli wote kuhusu Matrix. Neo alikibali kula kidonge chekundu, kilichotokea baada ya kula kidonge.....
 
==Washiriki==
 
 
* '''Robert Taylor''' kacheza kama '''Agent Jones''': Agent wa pili wa wana Matrix.
 
==Viungo vya nje==
* {{imdb title|id=133093|title=The Matrix}}
[[Category:Filamu za 1999]]
[[Category:Filamu za Marekani]]
[[Category:Filamu]]
 
[[de:Matrix (Film)]]
62,394

edits