Parafujo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
 
No edit summary
Mstari 3:
[[Image:DIN6914 UNI5587.jpg|thumb|220px|Skurubu na nati]]
 
'''Parafujo''' (kutoka [[Kireno]] ''Parafusoparafuso''; pia: '''skurubu'''/'''skrubu''' kutoka [[Kiing.]] ''screw'') ni kifaa kinachofanana na [[msumari]] kinachotumika kuunganisha vipande viwili. Tofauti na msumari nondo yake ina [[hesi]] kando lake; upande wa juu kuna kofia inayotumiwa kuikaza au kuifungua.
 
Kama vipande viwili vimeunganishwa kwa kutumia skurubu ni rahisi kuzifungia.
 
Kwa kawaida parafujo hutengenezwa kwa [[metali]] lakini kuna pia skurubu zilizotengenezwa kwa [[plastiki]] na [[ubao]].
 
Kwa jumla parafujo au skurubu zinatofautiana kutokana na madhumuni yao yaani aina ya maunzi yanayoshikwa nazo. Kuna aina tatu