Parafujo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 16:
Skurubu ya ubao ina kazi ya kuunganisha vipande viwili vya ubao. Huwa na umbo la [[pia]] maana yake inaanza nyembamba na kuwa pana zaidi hadi chini ya kofia yake. Sehemu ya mwisho chini ya kofia mara nyingi haina hesi.
 
Hesi inakata njia yake katika ubao; kama ubao ni ngumu au nene mara nyingi shimo ndogo inatangulia kutobolewa kwa [[keekee]]. Shimo hili lapaswa kuwa nyembamba kuliko skrubu itakayopita baadaye. Skurubu za aina hii huwa na kofia yenye tundu ama nyororonyoofu au yenye umbo la msalaba. [[Bisibisi]] inayolingana na tundu hutumiwa kugeuza parafujo.
 
Parafujo kubwa za kushikilia sehemu mbili inahitaji [[nati]]. Hesi yake haitakiwi kukata njia yake; pande mbili zinazotakiwa kushikwa na skrubu hii zimetobolewa shimo ambamo parafujo inapita bila tatizo; kofia inakaa upande mmoja na mwisho wa skrubu mwenye hesi unatoka upande mwingine. Hapa nati inafungwa na kukazwa.