Parafujo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
[[Image:Schraubverbindung.jpg|thumb|220px|Skurubu na nati]]
 
'''Parafujo''' (kutoka [[Kireno]] ''parafuso''; pia: '''skurubu'''/'''skrubu''' kutoka [[Kiing.]] ''screw''; pia '''bolti''' kutoka Kiing. ''bolt'') ni kifaa kinachofanana na [[msumari]] kinachotumika kuunganisha vipande viwili. Tofauti na msumari nondo yake ina [[hesi]] kando lake; upande wa juu kuna kofia inayotumiwa kuikaza au kuifungua.
 
Kama vipande viwili vimeunganishwa kwa kutumia skurubu ni rahisi kuzifungia.
Mstari 12:
* parafujo inayokata njia yake katika maunzi laini kama ubao au plastiki
* parafujo inayoingia katika nafasi iliyoandaliwa yenye hesi ya kike ndani yake inayolingana na hesi ya skurubu
* parafujo inayopita katika shimo ikishikwa nyuma kwa [[nati]] yenye hesi ya kike ndani yake. Aina hii huitwa pia bolti.
 
Skurubu ya ubao ina kazi ya kuunganisha vipande viwili vya ubao. Huwa na umbo la [[pia]] maana yake inaanza nyembamba na kuwa pana zaidi hadi chini ya kofia yake. Sehemu ya mwisho chini ya kofia mara nyingi haina hesi.