Nati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|200px|Aina mbalimbali za nati '''Nati''' (kutoka Kiing. ''nut'') ni kishikizo ambacho kimetengenezwa kwa kawaida kwa chuma au feleji. Ina uwazi wa dua...
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Nut-hardware.jpg|thumb|200px300px|Aina mbalimbali za nati]]
 
'''Nati''' (kutoka [[Kiing.]] ''nut'') ni kishikizo ambacho kimetengenezwa kwa kawaida kwa chuma au feleji. Ina uwazi wa duara ndani yake yenye [[hesi]].
Mstari 5:
Hutumiwa kwa kukaza [[parafujo]] aina ya bolti na hesi yake sharti kulingana kabisa na hesi ya parafujo yake.
 
Nati nyingi huwa na pande sita na kukazwa kwa [[spana]]. Kuna pia nati zenya ala zinazozungushwa kwa mkono.
[[Category:Vifaa]]