Parafujo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
sahihisho dogo
Mstari 5:
'''Parafujo''' (kutoka [[Kireno]] ''parafuso''; pia: '''skurubu'''/'''skrubu''' kutoka [[Kiing.]] ''screw''; pia '''bolti''' kutoka Kiing. ''bolt'') ni kifaa kinachofanana na [[msumari]] kinachotumika kuunganisha vipande viwili. Tofauti na msumari nondo yake ina [[hesi]] kando lake; upande wa juu kuna kofia inayotumiwa kuikaza au kuifungua.
 
Kama vipande viwili vimeunganishwa kwa kutumia skurubu ni rahisi kuzifungiakuzifungua tena.
 
Kwa kawaida parafujo hutengenezwa kwa [[metali]] lakini kuna pia skurubu zilizotengenezwa kwa [[plastiki]] na [[ubao]].