Injili ya Luka : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: ng:Lukas
No edit summary
Mstari 1:
{{Agano Jipya}}
'''Injili ya Luka''' ni kitabu cha tatu katika orodha ya vitabu vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia ya Kikristo]]. Huhesabiwa kati ya [[injili zaInjili sinoptikiNdugu]] pamoja na [[Injili ya MatthayoMathayo]] na [[Injili ya Marko]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
==Vitabu viwili, kazi moja==
 
Injili ya tatu, ya [[Mtakatifu Luka]], inaendelea na kitabu cha [[Matendo ya Mitume]]: katika dibaji za vitabu vyake hivyo mwandishi anaeleza sababu na taratibu za kazi yake kwa mlengwa wa kwanza, Teofilo. Mtu huyo hajulikani, na pengine jina hilo linawakilisha msomaji yeyote, hasa kwa sababu linatafsiriwa "Mpenzi wa Mungu".
 
==Mwandishi==
 
Kadiri ya mapokeo, mwandishi ni mganga Luka, mwenzi wa [[Mtume Paulo]] katika safari zake kadhaa.
 
Inawezekana kwamba alikuwa mwenyeji wa [[Antiokia]]; kwa vyovyote hakuwa Myahudi, yeye peye yake kati ya waandishi wote wa [[Biblia]].
 
==Muda na malengo==
 
Wataalamu wanakisia kwamba aliandika vitabu vyake kwenye mwaka 80, akitumia [[Injili ya Marko]], kitabu cha misemo ya [[Yesu]] kinachotajwa kifupi kama Q na vyanzo vingine vya habari.
Line 21 ⟶ 29:
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili.
 
[[Category:Vitabu vya Agano Jipya|LukLuka]]
[[Category:Ukristo]]
 
[[ar:إنجيل لوقا]]