Mwanzo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 27:
|-
|style="font-size: 1.0em;" bgcolor="#F7F5D3" |
<h3 style="font-size:150%"><em style="color:orange;font-style:normal">&#8226;</em>'''Makala maalum:''' <br><center>'''[[Vita BaridiDudumizi]]'''</center></h3>
[[image:Senegal Coucal.jpg|thumb|180px|Picha ya Dudumizi.]]
[[Image:Cold_war_europe_military_alliances_map_en.png|thumb|160px|Pande mbili za vita baridi katika Ulaya: washiriki wa Marekani (buluu) na wa Umoja wa Kisovyeti (nyekundu)]]
'''Dudumizi''' ni [[ndege]] wakubwa kadiri wa jenasi ''[[Centropus]]'', jenasi pekee ya [[familia ndogo]] [[Centropodinae]] katika [[familia]] [[Cuculidae]]. Wana macho mekundu na mkia mrefu, na ukucha wa kidole kikabilicho nyuma ni mrefu sana. Jina “Centropus” linatoka maneno ya Kiyunani: κεντρον = mwiba na πους = mguu. Spishi nyingi zina mabawa kahawianyekundu na kichwa cheusi. Dudumizi hula [[mdudu|wadudu]], [[mjusi|mijusi]], [[nyoka]] na [[mnyama|wanyama]] wadogo, na [[yai|mayai]], [[kinda|makinda]], [[tunda|matunda]] na [[mzoga|mizoga]] pia. Tago lao hujengwa katika uoto mzito na mara nyingi juu yake imefungwa. Jike hutaga mayai 2-5, lakini dume, ambaye ni mdogo zaidi, huatamia na hutunza makinda.
'''Vita Baridi''' ilikuwa kipindi cha ugomvi kati ya vikundi viwili vya nchi duniani kati ya 1945 na 1989. Upande moja zilikuwa nchi zilizoshikama na [[Marekani]] ya Ulaya ya Magharibi na upande mwingine nchi zilizoshikamana na [[Umoja wa Kisovyeti]] na madola ya Ulaya ya Mashariki.
 
*[[Vita BaridiDudumizi|Soma zaidi kuhusu '''Vita BaridiDudumizi'''...]]
==Vita baridi badala ya vita moto==
Pande zote mbili zilijenga jeshi kubwa na kuwa na silaha nyingi lakini hazikuanzisha vita moja kwa moja ingawa zilijaribu kutishana na kupeana matatizo kwa njia nyingi. Kipindi hiki kilikuwa na maandilizi ya vita lakini vita ya kijeshi haikuanza. Sababu muhimu ya kutoingia katika mapigano ya wazi ilikuwa akiba kubwa ya silaha za nyuklia kila upande na wote walijua ya kwamba vita ingeleta uharibifu kabisa kwa nchi zote zilizoshiriki hata kwa dunia yote.
 
==Chanzo kilikuwa farakano kati ya washindi wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia==
Vita baridi ilianza baada ya [[vita kuu ya pili ya dunia]]. Marekani, Umoja wa Kisovyeti, [[Uingereza]] na [[Ufaransa]] zilikuwa nchi washindi wa vita hii dhidi ya Ujerumani. Urusi ulikuwa na siasa ya kikomunisti lakini washindi wengine walifuata siasa ya kidemokrasia pamoja na uchumi wa kibepari.
 
Nchi za Ulaya ya Mashariki pamoja na sehemu za Ulaya ya Kati zilikaliwa na jeshi la kisovyeti lililowahi kuwafukuza Wajerumani katika maeneno haya. Wasovyeti walianza kuunda serikali zilizoshikamana nao mara nyingi kwa njia ya uchaguzi bandia na kwa kuwalazimisha wanasiasa wa nchi kama [[Poland]], [[Chekoslovakia]] au [[Hungaria]] kutii madai yao. Wapinzani walikamatwa na kufungwa ndani. Katika kila nchi chama cha kikomunisti kiliingizwa katika serikali na vyama vingine vya kisiasa kuwekwa chini ya usimamizi wa wakomunisti au washauri wasovyeti. Mwaka 1946 kiongozi Mwingereza [[Winston Churchill]] alilalamika ya kwamba "pazia ya chuma" ilitandikwa katika Ulaya kuanzia [[Stettin]] upande wa kaskazini hadi [[Trieste]] upande wa kusini na nyuma yake uhuru ulikandamizwa.
*[[Vita Baridi|Soma zaidi kuhusu '''Vita Baridi'''...]]
<h3 style="font-size:100%"><em style="color:orange;font-style:normal">&#8226;</em>'''Ujenzi'''</h3>
[[Ujenzi]] -