Waraka kwa Waroma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
viungo
No edit summary
Mstari 2:
 
'''Waraka kwa Waroma''' ni sehemu ya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia ya Kikristo]]. Andiko hili ni barua ya [[Paulo wa Tarso]] kwa ushirika wa Kikristo katika mji mkuu wa [[Dola la Roma]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
Kati ya maandiko matakatifu ya [[Agano Jipya]] na ya [[Biblia]] kwa jumla, barua ya [[Mtume Paulo]] kwa [[Wakristo]] wa [[Roma]] ina umuhimu wa pekee uliokusudiwa naye mwenyewe.