Waraka kwa Waefeso : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{Agano Jipya}}
 
Barua kwa [[Waefeso]] ni kati ya vitabu 27 vya [[Agano Jipya]] ambalo pamoja na [[Agano la Kale]] linaunda [[Biblia]] ya [[WakristoKikristo]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
==Mazingira==
 
[[Mtume Paulo]] aliweza kuandika barua hii akiwa kifungoni [[Roma]] kati ya miaka 61 na 63 ili isomwe katika makanisa yote ya mkoa wa [[Asia Ndogo]], wenye makao makuu [[Efeso]].
 
==Mada==
 
Mafundisho yake yanalingana na yale ya [[barua kwa Wakolosai]] ila yamechimbwa zaidi, kiasi kwamba barua hii inaonekana kuwa kilele cha [[teolojia]] ya Paulo.