Waraka wa kwanza kwa Wathesaloniki : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{Agano Jipya}}
'''Waraka wa kwanza kwa Wathesalonike''' ni sehemu ya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia ya Kikristo]]. Ni barua iliyoandikwa na [[Paulo wa Tarso]] kwa Wakristo wa mji wa [[Thesaloniki]] katika [[Ugiriki ya Kale]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
==Muda wa uandishi==
 
Barua hiyo ni andiko la kwanza la [[Agano Jipya]] katika [[Biblia]] kwa kuwa ni wa mwaka 51 hivi.
 
==Mazingira==
 
Baada ya [[Sila]] na [[Timotheo]] kufika [[Korintho]] toka [[Thesaloniki]], walimpa [[Mtume Paulo]] ripoti kuhusu hali ya Kanisa la kule na kumuondolea wasiwasi: dhuluma zilikuwa zikiendelea lakini [[Wakristo]] wapya ni imara.
Line 9 ⟶ 15:
 
Ni barua tulivu na ya kirafiki, ingawa inatoa maonyo upande wa [[maadili]] (1Thes 1:1-3:13; 4:13-17; 5:1-11; 5:16-28).
 
==Mpangilio==
 
Mpangilio wa barua ni uleule wa zile zitakazofuata: baada ya salamu na shukrani kwa Mungu, yanafuata mafundisho ya imani, halafu maadili, na hatimaye salamu nyingine.