Tofauti kati ya marekesbisho "Waraka wa kwanza kwa Timotheo"

no edit summary
d (roboti Nyongeza: ng:1 Timoteus)
No edit summary
{{Agano Jipya}}
 
 
'''Barua ya kwanza kwa Timotheo''' ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia]] ya [[Ukristo]].
 
Iliandikwa na [[Mtume Paulo]] baada ya kifungo chake cha kwanza mjini [[Roma]] labda akiwa [[Makedonia]] ili kumpa mwanafunzi wake mpenzi mashauri na maelekezo kwa kazi yake aliyomshirikisha.
 
Pamoja na ile ya pili aliyomuandikia na ile kwa Tito inaunda kundi la [[Nyaraka za Kichungaji]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
==Mazingira==
 
IliandikwaBarua hii iliandikwa na [[Mtume Paulo]] baada ya kifungo chake cha kwanza mjini [[Roma]] labda akiwa [[Makedonia]] ili kumpa mwanafunzi wake mpenzi mashauri na maelekezo kwa kazi yake aliyomshirikisha.
 
 
==Kiungo cha nje==