Waraka wa pili kwa Timotheo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
{{Agano Jipya}}
 
'''Barua ya pili kwa Timotheo''' ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia]] ya [[UkristoKikristo]]. Ni moja ya kundi la [[Nyaraka za Kichungaji]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
'''Barua ya pili kwa Timotheo''' ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia]] ya [[Ukristo]]. Ni moja ya kundi la [[Nyaraka za Kichungaji]].
 
Mwandishi ni [[Mtume Paulo]] akiwa kifungoni [[Roma]] kwa mara ya mwisho, muda mfupi kabla ya kukatwa kichwa wakati wa dhuluma (64-67 [[B.K.]]) ya [[Kaisari]] [[Nero]] dhidi ya [[Wakristo]].