Waraka kwa Tito : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: tl:Sulat kay Tito
No edit summary
Mstari 1:
{{Agano Jipya}}
 
'''Barua kwa Tito''' ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia]] ya [[Ukristo]].
 
Pamoja na barua mbili kwa [[Timotheo]] inaunda kundi la [[Nyaraka za Kichungaji]]. Mada za hizo zote ni mafundisho sahihi ya imani na uadilifu wa matendo yanayofuatana nayo.
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
'''Barua kwa Tito''' ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia]] ya [[Ukristo]].
 
==Mwandishi==
 
Mwandishi wake ni [[Mtume Paulo]] mwishoni mwa maisha yake.
 
==Mlengwa==
Mlengwa ni mmojawapo wa wanafunzi wake, ambao aliwashirikisha mamlaka yake wakawa waandamizi wake ka ma[[askofu]] wa kwanza.
 
Mlengwa ni mmojawapo wa wanafunzi wake, ambao aliwashirikisha mamlaka yake wakawa waandamizi wake ka ma[[askofu]] wa kwanza.
Pamoja na barua mbili kwa Timotheo inaunda kundi la [[Nyaraka za Kichungaji]]. Mada za hizo zote ni mafundisho sahihi ya imani na uadilifu wa matendo yanayofuatana nayo.
 
Awali Tito alikuwa Mpagani (Wagalatia 2:1-3, 2 Wakorintho 8:23).
 
Awali [[Tito]] alikuwa Mpagani (Wagalatia 2:1-3, 2 Wakorintho 8:23).