Waraka kwa Waebrania : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Nyongeza: tl:Sulat sa mga Hebreo
No edit summary
Mstari 1:
{{Agano Jipya}}
 
'''Barua kwa Waebrania''' ni kati ya vitabu 27 vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia ya Kikristo]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
==Mazingira==
 
Miaka ya 60 [[B.K.]] Mkristo mwenye asili ya [[Kiyahudi]] na elimu ya [[Kiyunani]], aliwaandikia [[Wakristo]] wa Kiyahudi wenzake si barua hasa bali hotuba kamili iliyoambatanishwa na kipande cha barua.
Line 6 ⟶ 12:
 
Mwandishi aliwaonya kuwa wakimuasi [[Yesu]] hawamrudii [[Mungu]] aliye hai, aliyejifunua hasa katika Mwanae, bali wanamsulubisha tena kwa makusudi mazima na kustahili tu [[moto wa milele]].
 
==Mada==
 
Sehemu kubwa ya maandishi hayo inalinganisha [[Yesu Kristo]] na [[ukuhani]] wake katika [[hekalu]] la mbinguni upande mmoja, na ukuhani wa [[Agano la Kale]] huko [[Yerusalemu]] upande mwingine.
Line 12 ⟶ 20:
 
Kwa kuwa lengo halikuwa la kinadharia, bali kuhimiza uaminifu, kila baada ya kuchambua ukweli fulani aliongeza mawaidha ya kufaa.
 
==Ubora wa kitabu hiki==
 
Ubora wake ni kulinganisha mambo ya kale na utimilifu wake katika [[Agano Jipya]], pia kuthibitisha ukuu wa Kristo kama kuhani wa milele (Eb 1:1-2:4; 4:11-5:10; 7:1-8:13; 10:19-11:40; 13:22-25).