Tofauti kati ya marekesbisho "Waraka wa tatu wa Yohane"

254 bytes added ,  miaka 11 iliyopita
no edit summary
d (roboti Nyongeza: sn:3 Johane)
{{Agano Jipya}}
 
'''Barua ya tatu ya Yohane''' ni kitabu kimojawapo chakati ya vitabu 27 vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia]] ya [[UkristoKikristo]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
'''Barua ya tatu ya Yohane''' ni kitabu kimojawapo cha [[Agano Jipya]] katika [[Biblia]] ya [[Ukristo]].
 
==Mwandishi==
 
Kuhusu mwandishi wa barua hiyo lilichelewa kutajwa jina la [[Mtume Yohane]] kutokana na yaliyomo na mtindo wa uandishi wake.
 
Kama mwandishi si yeye, ni mmoja wa wanafunzi wake aliyeandikwa mwishoni mwa [[karne ya 1]] huko [[Efeso]].
 
==Mlengwa==
 
Mlengwa ni ''Gaio'', anayedhaniwa kuwa kiongozi mmojawapo wa jumuia fulani kati ya zile zilizomtegemea Yohane.