Waraka wa Yuda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d roboti Badiliko: tl:Sulat ni Hudas
No edit summary
Mstari 1:
{{Agano Jipya}}
 
Hiki ni kitabu kimojawapo chakati ya vitabu 27 vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia]] ya [[UkristoKikristo]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[Historia ya Wokovu|historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[Ufunuo|ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
==Mwandishi==
 
Hatujui vizuri mwandishi ni nani (ingawa anajiita ndugu wa Yakobo), wala aliandika lini (wengi wanakisia miaka ya 80 [[B.K.]]), wala aliwaandikia akina nani (barua ni kwa wote, ingawa baadhi wanahisi walengwa kuwa ni [[Wakristo]] wa [[Kiyahudi]] walio nje ya [[Israeli]]).
 
==Mada==
 
Ujumbe ni kujihadhari na wazushi wanaobunibuni mafundisho mapya badala ya kushika [[imani]] ile iliyofunuliwa mara moja na ikatosha; ujumbe huo ulitolewa kwa kuwatukana na kuwalaani wazushi hao (Yuda 1-4, 17-25).