Siwa barafu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|right|Siwa barafu thumb|right|Siwa barafu inaweza kuwa na umbo kama hili '''Siwa barafu''' ni kipande kikubwa cha [[barafu...
 
No edit summary
Mstari 4:
'''Siwa barafu''' ni kipande kikubwa cha [[barafu]] kinachoelea baharini.
 
Kwa kawaida siwa barafu hupatikana kama vipande vinakatikavinavunjika kwenye [[barafuto]] au maganda ya barafu nchani na kuanguka kwenye maji ya bahari.
 
Barafu ni nyepesi kushinda maji na hivyo kipande cha barafu kitaelea kwenye maji lakini sehemu kubwa ya siwa barafu iko chini ya maji.