Siwa barafu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
'''Siwa barafu''' ni kipande kikubwa cha [[barafu]] kinachoelea baharini.
 
==Asili ya siwa barafu==
Kwa kawaida siwa barafu hupatikana kama vipande vinavunjika kwenye [[barafuto]] au maganda ya barafu nchani na kuanguka kwenye maji ya bahari.
 
==Tabia==
Barafu ni nyepesi kushinda maji na hivyo kipande cha barafu kitaelea kwenye maji lakini sehemu kubwa ya siwa barafu iko chini ya maji.
 
Siwa barafu huelea pamoja na mwendo wa [[mikondo ya bahari]]. Kadiri inavyofika kwenye maji yasiyo baridi tena muda wa maisha ni miezi hadi miaka kadhaa. Muda huu hadi kuyeyuka kabisa unategemea ukubwa wa siwa barafu na halijoto ya eneo inapofika. Zimetazamiwa kwa muda wa miaka 3.
 
Mara nyingi zinaonekana [[mita]] 1 hadi 75 juu ya uso wa bahari; uzito hufikia hadi [[tani]] 100,000 au 200,000. Siwa barafu kubwa katika [[Atlantiki ya Kaskazini]] iliyotazamiwa ilikuwa na mita 168 juu ya maji yaani kimo cha nyumba ya ghorofa 55.
 
==Hatari kwa meli==