Kibonzo : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
viungo vya Nje
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:First felix.gif|thumb|right|350px|Kibonzo cha "Felix the Cat" (paka Felix) kilitolewa mwaka 1923]]
'''Kibonzo''', pia '''Katuni''' (kutoka [[Kiingereza]] ''cartoons'') au '''Komiki''' (kutoka Kiing. ''comics'') ni namna ya kueleza hadithi au habari kwa kutumia picha. Picha hizi mara nyingi zimechorwa ama moja-moja au mfululizo na kueleza habari kwa namna ya kuchekesha.
 
Majadiliano ya wahusika kwenye kibonzo huonyeshwa kwa njia za viputo vya maneno. Kuna pia viputo vya dhana vya kuonyesha fikra za wahusika.