Charles Nicolle : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d kuongeza alama ya Nobel na 'Category'
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Tuzo Nobel.png|left|80px]]
 
'''Charles Jules Henry Nicolle''' ([[21 Septemba]], [[1866]] – [[28 Februari]], [[1936]]) alikuwa daktari kutoka nchi ya [[Ufaransa]]. Hasa alichunguza virusi visababishavyo magonjwa mbalimbali. Alikuwa wa kwanza kueleza jinsi ya kuenea kwa homa ya madoa madoa. Mwaka wa [[1928]] alikuwa mshindi wa '''[[Tuzo ya Nobel]] ya Tiba'''.
 
[[Category:Wanasayansi]]