Ueleaji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
New page: thumb|200px|Nguvu ya ueleaji ndani ya kiowevu '''Ueleaji''' ni nguvu ya usukumaji juu wa giligili (yaani kiowevu au gesi) kwa gimba ndani yake. Hutokan...
 
No edit summary
Mstari 10:
Kama gimba ndani ya giligili huwa na densiti sawa nayo linaelea tu; kama densiti yake ni kubwa linazama chini; kama densiti yake ni ndogo kushinda giligili litapanda juu kwa uso wa giligili.
 
Meli au boti inaelea kwa sababu jumla ya mjao wake ni nyepesi yaani densitiy a wastani ni ndogo kuliko maji. Hii ni kweli hata kama ni meli ya [[feleji]] na feleji ina densiti kubwa na kuwa nzito kushinda maji. Lakini ndani ya felejikuna nafasi kubwa ya hewa na ni wastani ya nafasi hii yote inayofanya meli kwa jumla kuwa na densitiidensiti ndogo kuliko maji hivyo inaelea.
 
: <math>F = \rho \cdot V \cdot g</math>
: F ni alama ya kani ya ueleaji; <math>V</math> ni mjao (=''volume'') ya giligili iliyosukumwa kando na gimba; <math>\rho</math> ni densiti yake.
 
Hali hii ilitambuliwa na mtaalamu [[Archimedes]] wa [[Ugiriki ya Kale]] na kuelezwa naye katika [[Kanuni ya Archimedes|kanuni yake]].
 
== Viungo vya Nje ==