Basilika : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
New page: '''Basilika''' kwa asili lilikuwa jengo rasmi lililotumika Roma kama mahali pa mikutano ya hadhara na maamuzi ya kimahakama. Jina ni la Kigiriki (''aulè basilikè'', yaani ukumbi... |
No edit summary |
||
Mstari 5:
Kuanzia mwaka [[313]], [[Dola la Kirumi]] liliporuhusu raia kufuata [[Ukristo]], basilika ziligeuzwa kuwa mahali pa ibada ya [[dini]] hiyo, kuanzia [[Kanisa Kuu la Roma]], maarufu kwa jina la Mt. Yohane huko [[Laterani]].
Baadaye zikajengwa [[Basilika
Baadaye, cheo cha Basilika
Hata hivyo, kuna basilika kuu na basilika ndogo. [[Category:Ukristo]]
|