Basilika : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
Jina ni la [[Kigiriki]] (''aulè basilikè'', yaani ukumbi wa kifalme), hivyo linaelekeza kuona asili ya majengo hayo upande wa [[mashariki]] wa [[Bahari ya Kati]]
 
Kuanzia mwaka [[313]], [[Dola la KirumiRoma]] liliporuhusu raia kufuata [[Ukristo]], basilika ziligeuzwa kuwa mahali pa ibada ya [[dini]] hiyo, kuanzia [[Kanisa kuu la Roma]], maarufu kwa jina la Mt. Yohane huko [[Laterani]].
 
Baadaye zikajengwa [[Basilika la Mt. Petro]] huko [[Vatikani]], [[Basilika la Bikira Maria Mkuu]] na [[Basilika la Mt. Paulo]] nje ya kuta za jiji.
Mstari 9:
Baadaye, cheo cha Basilika kilitolewa kwa makanisa mengi mengi kutokana na umuhimu wake upande wa historia, dini na sanaa.
 
Hata hivyo, kuna basilika kuu na basilika ndogodogo.
 
[[Category:Ukristo]]